• LOGIN
 • No products in the cart.

Login

Free Kiswahili Exam

Mtihani wa Darasa la Nane

MAAGIZO YA MTIHANI

Ingia kwenye akaunti

Baada ya kuingia katika ukurasa wenye mtihani, tafadhali tumia vidude vilivyo pembeni (juu) upande wa kulia ili kuweza kuingia kwenye ukurasa huo.

JINSI YA KUJIBU MASWALI

 1. Chagua jibu sahihi katika kila swali. Usiache swali lolote bila kujibiwa.
 2. Zifuatazo ni sampuli za maswali:
 • Maswali yenye viteuzi: Chagua jibu moja. Kumbuka unakubaliwa kuhifadhi jibu lako kwa kubonyeza mara moja tu.
 • Maswali ya ‘Ndio’ au ‘La’: Bonyeza kwa kukubali (Ndio) au kukataa (La) kisha huhifadhi jibu lako mara moja tu.
 • Maswali ya jibu lenye neno moja: Chagua jibu sahihi la kujaza pengo.
 • Maswali ya ufahamu: Teua jibu mwafaka kwa mujibu wa ufahamu.
 1. Bonyeza kidude cha Hifadhi jibu kilicho chini ya swali. Hifadhi jibu ili lisahihishwe.
 2. Bonyeza kidude cha Wasilisha jibu kilicho juu na chini ya huo ukurasa ili majibu yako yasahihishwe.
 3. Mtahini/Mwalimu ataangalia majibu yako. Baada ya kusahihisha utatumiwa matokeo yako moja kwa moja.
 4. Matokeo yatawasilishwa katika kitengo au sehemu ya Matokeo.
 5. Wasiliana na Mwalimu/ Mtahiniwa ili kufafanuliwa maswali yaliyokutatiza kwa uelewa mzuri zaidi.
X